ocr: Sikilza kwa makini Iameno mamne au vifungu vya maneno, Mojaya hayo litarudiwa. Bonyeza kifungo cha buluu usikie tena. Chagua neno au kifungu cha Iameno yanayoelekeana kutoka kwenye orodha. Utapata pointi 5 kwa jibu sawa, na ukikosea utapoteza pointi mbili.